http://deloplen.com/afu.php?zoneid=2607779 MORO NDIO HOME: JE UNAIJUA HISTORIA YA IKULU YA MOROGORO???

Monday, May 6, 2019

JE UNAIJUA HISTORIA YA IKULU YA MOROGORO???

PALE IKULU YA MOROGORO ILIPOGEUZWA HOSPITALI YA JESHI….

JE WAJUWA? Ni katika vita ya kwanza ya Dunia baina ya Ujerumani na Uingereza kuanzia mwaka 1914 hadi 1918, Boma au Ikulu ya Morogoro ilitumiwa kuwa Hospitali ya majeshi ya Ufalme wa Uingereza, wakati huo kwenye ukanda huu majeshi hayo yaliongozwa na Jenerali Smuts.

(Morogoro Boma had been used by the British as a hospital in the 1914-18 First World War between Great Britain and Germany; the British Empire troops in East Africa were commanded by General Smuts.)



Image may contain: sky, plant and outdoor

No comments:

Post a Comment